Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katibu Mkuu wa Hizbollah ya Lebanon akiashiria kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki na imekiukwa mipaka yake amesema: Iran ina Kiongozi Muadhamu shupavu ambaye ameazimia kuifanya Iran iheshimiwe na kama Taifa lenye nguvu.
Iran ni taifa lenye mshikamano, na wanaweka kando tofauti zao ili kusimama kwa umoja na mshikamano katika kukabiliana na uchokozi wa Marekani na Israel.Pasina shaka yoyote Iran itashinda vita hii.
Your Comment